South and Middle and Tanzania Children Songs

Songs collected from South and Middle Tanzania

 

1. Damalis Lupia

 Tribe: Mgogo

Region: Dodoma

Download Name Play Size Duration
download 1. Damalis Lupia
1.4 MB 1:30 min

(in Kiswahili) Kulikuwa kuna mama mmoja ambaye hakufanikiwa kuzaa, sasa kukatokea mama mwingine pale kijijini alienda kujifungua, bahati mbaya akafa. hivyo kijiji kikaona wampe yule mama aliyekuwa tasa huyu mtoto.  Mtoto akakuwa akafikia kutahiriwa, na ilipofika siku ya saba uchungu umekuwa mwingi wa kidonda anaugulia ndipo yule mama akamchukua na kumtupa ndani ya pipa.

(English) There was a mom who did not get child. Then it happend, antother woman in that willage she went to get birth, unfortunatly the woman died. so the village dicedid to give the child to the woman without baby, The child was grown until come time to be circumcacied. when it become the seven of being circumcacied the child had a lot of pain so the mother decdiced to take the child and throw away to the well.

(in English) This song is danced and sung in cimcumcacies.

  

2. Damalis Lupia 

Tribe: Mgogo

Region: Dodoma

Download Name Play Size Duration
download 2. Damalis Lupia
0.6 MB 0:42 min

(in Kiswahili) Huu ni mchezo wa watoto wanapokuwa wapo pamoja wanacheza, wakiweka mikono yao pamoja ikiwa chini. wanaanza usema jumamosi, jumapili, kipana. Pale itakapoishia kipana ndio mono umeshinda. 

(in English) Children playing song. Hand are put on the table and other person is touching tale between fingers and singing starts: Sunday. Saturday..

 

3. Damalis Lupia

Tribe: Mgogo

Region: Dodoma

Download Name Play Size Duration
download 3. Damalis Lupia
1.1 MB 1:14 min

(in Kiswahili) Huu ni wimbo wa harusi. Unaimbwa wakati wa bibi harusi anatoka nje. (yereree) maana yake ni kupiga vigere gere.

(in English) This song is a wedding song. It is sung when woman is walking from her house to the huspend's house.

  

4. Damalis Lupia

Tribe: Mgogo

Region: Dodoma 

Download Name Play Size Duration
download 4. Damalis Lupia
2 MB 2:09 min

(in Kiswahili) Mtoto anasema kama angejua kuwa maisha ndivyo yalivyo mabaya namna hii asingekuja hapa duniani, angebakia tumboni mwa mama yake.

(in english) The child says: If she would know before that life is bad like this. She would not come to the world and she would stay in the womb. 

 

 

5. Agnes Makaba - Nantunbu silongo

Children Songs TanzaniaTribe: Makonde

Region: Mtwara

Download Name Play Size Duration
download 5. Agnes Makaba, Nantunbu silongo
0.3 MB 0:17 min
 

(in Makonde) Nantumbu silongo kulia kunankalela. Mwanangu unalile kulya kwaloka nkulima. 

 

6. Elisabeth Mosquito - Oo mtoto.

Tribe: Makonde

Region: Mtwara

Download Name Play Size Duration
download 6. Elisabeth Mosquito, Oo mtoto.
0.6 MB 0:38 min

Melodia is from Makonde and lyrics are in Swahili.

 

7. Saana Sana - Kwek kwek

Tribe: Makonde

Region: Mtwara

Download Name Play Size Duration
download 7. Saana Sana, Kwek kwek
0.8 MB 0:55 min

kwek kwek

chokuta ng'anga kwe kwe kwe..... 

 

8. Saana Sana - dedede 

Tribe: Makonde

Region: Mtwara

Download Name Play Size Duration
download 8. Saana Sana, dedede
0.7 MB 0:45 min
 

Dedededee, dedee dedeee

Sanaa Sana bandnakulelaaee ee dede

anyoke aukile kumuto

dede nateka lyeabwambaa dedee,

lyambwambwaa lya musitala dede

aujan ata ngadika ee

kasidoni nkanumi malala, malala 

malala kikuleele

 

9. Zena Ramadhani

Tribe: Kwere

Region: Pwani (East-Coast)

Download Name Play Size Duration
download 9. Zena Ramadrani
0.6 MB 0:43 min

(in Kiwahili) Mwanangu nyamaza mama yako nakubembeleza! 

(in English) I'm your mom, stop crying my baby! 

 

10. Mariamu Ramadhani

Tribe: Kikutu

 

Region: Morogoro

Download Name Play Size Duration
download 10. Mariamu Ramadhani
0.8 MB 0:54 min

(in English) My baby, our chicken is stoled so today you will eat vegetables. 

 

11. Zena Ramadradi - Segere   

 

Tribe: Zaramo

Region: Pwani (East-coast)

Download Name Play Size Duration
download 11. Zena Ramadradi, Segere
0.4 MB 0:23 min
 

(in Zaramo) Segere ooh uzazi wa mwana naomba ndimwage segere. segere ooh uchungu mwana naomba ndimwage segere

(in Kiswahili) Segere ooh uzazi wa mwana naomba nicheze na mwanangu segeer, segere eeooh uchungu wa mwana naomba nicheze segere.

(in English) Segere ooh to delivery  a  child my bag to dance with my child,  segere, seregere. I feel pain if can not dance with my child segere. 

Segere is a music style sung and danced in Zaramo. Song is used to sing as a solo but others come to sing to words "segere".

 

Additional information