Children Songs Zanzibar

Songs collected from Zanzibar

 

1. Unknown artist and her son

Place: Zanzibar, Stowntown

 

Download Name Play Size Duration
download 1. Unknown woman and her son, Zanzibar
1 MB 1:04 min

Zanzibar songs(in Kiswahili) Mwanangu nakuchombeza, nakuchombeza ulale, ulale ukiamka nikupikie ubwabwa, nikupikie ubwabwa na mchuzi wa kangaja, usipoku kutosheleza nikupikie wa pweza, hoo ooh hooh mtoto. Usilie usilie ukaniliza na mie, machozi yako yaweke nikifa unililie, hoo ooh hooh mtoto.

(in English) I let you sleep, so when you work up I can cook rice for you, with Kangaja souce, if you will not like it, then I can cook octopus for you, oooh ooooh my child. Dont cry so I dont cry too. just keep your tears so you can cry after I die. oooh oooh ooh mtoto.

 

2. Unknown artist

Place: Zanzibar, Stonetown

Download Name Play Size Duration
download 2. Unknown woman, Zanzibar
0.4 MB 0:27 min

(in Kiswahili) nsuka pitia konde x2 kuna manywele kuna  manywele tukayasonge, lyayongo lyalinda wakongwe, hoyaaaa hoyaaaa hoyaaa lyayongo lyalinda wakongwe.

(in English) If you go to Nsuka pass through Konde x2 there is a lot of hair, there is a lot of hair. 

 

3. Unknown artist

Place: Zanzibar, Stonetown

Download Name Play Size Duration
download 3. Unknown woman, Zanzibar
0.7 MB 0:48 min

(in Kiswahili) Nalia hapa nalia hapa, gari ya punda sipandi sikulewa sikulewa wala sikuvuta bangi, laniua laniaua ua la mrangi rangi hohoho.. sikuwepo sikuwepo nyungu ikateketea aja mbio aja mbio azidi kuichochea mimi sikalii pendo nakalia mazoea.

(in English) I am crying here, I wont use the donkey’s car, I was not drunk and I didnt smoke ghanja. (parts of translation missing) 

 

4. Halima Ali Khamis

Place: Zanzibar, Gamba Kigongoni

Download Name Play Size Duration
download 4. Halima Ali Khamis
0.3 MB 0:18 min

(in Kiswahili) Oo mtoto, oo mtoto, paka kalala njiani tumkanyage kichwani tuwapishe waenda kuni na waendao visimani hohoh hohoho mtoto

(in English) oo child, oo child, a cat is sleeping on the way lets step on its head so the people who are going to cut firewood and fetching water can go.

 

5. Halima Ali Khamis

Place: Zanzibar, Gamba Kigongoni

Download Name Play Size Duration
download 5. Halima Ali Khamis
0.3 MB 0:17 min

(in Kiswahili) Oo mtoto, mama yako kaenda pwani anakuletea nyama na huko kisiwani anakuletea pweza. pweza na biriani utakula sana, utakuula unenepe paka wangu usimpe anakutafuna mkia, mkia wake ntaukata. 

(in English) ooh child, your mom has gone to the beach, she will bring you meet and octopus. you will eat octopus, you will eat so you become fat. dont give my cat. I will cut its tail.

 

6. Halima Ali Khamis

Place: Zanzibar, Gamba Kigongoni

Download Name Play Size Duration
download 6. Halima Ali Khamis
0.4 MB 0:28 min

 

7. Rayani Juma

Place: Zanzibar, Kuchani

Download Name Play Size Duration
download 7. Rayani Juma
0.2 MB 0:12 min

(in Kiswahili) Ana ana anado, pana pana panado, zinauzwa zinauzwa dukani, shin shilling shin shilling unapanda bei, unapata kutumia.

(in English) Ana ana anado, Panadol are sold at the shop. (parts of translation missing) 

 

8. Rayani Juma

Place: Zanzibar, Kuchani

Download Name Play Size Duration
download 8. Rayani Juma
0.2 MB 0:15 min

(in Kiswahili) Bania bania umevunja mtungi wa watu,  akirudi baba yako atakuja kukupiga hohho mama sijafanya makusudi nimejikwaa na jiwe mtungi ukavunjika.

(in English) Bania you have broke other people’s pot, when your father come back he will stick you. (parts of translation missing)

 

9. Rayani Juma

Place: Zanzibar, Kuchani

 

Download Name Play Size Duration
download 9. Rayani Juma
0.8 MB 0:50 min

(in Kiswahili) Mbuzi beberu walilia nini, nataka majani­ ,hayo hapo chini nataka samaki nenda baharini, nikijenga jumba jumba ya ghorofa, nikipanda juu likaporomoka, kitoto Asia kikaniokoa kikanipeleka mnanzi mmoja, Chumba cha kwanza nikapigwa sindano, chumba cha pili nikapimwa ukimwi, chumba cha tatu nikapewa dawa, vibibi viwili chinja vilienda sikoni chinja, kununua tumbaku chinja, tumbaku hakuna  chinja, vikaanza kulia chinja machozi ya damu chinja, ebo ebo umezoea dezo unazani kila siku ijumaa.

(in English) why are ther billy goats crying, I want the grasses, there they are down, I want the fish, go to the beach, If I build the house with upper floors, and go up stairs, it will fall down. Asia the child will pick me up and take me to the hospital, in the first room I got needle, the second room I tested HIV, the third room I got medician. two old women slaughter they went to the market slaughter to buy tobacco slaughter there is no tobacco slaughter they started to cry slaughter blood tears slaughter ebo ebo you are used of free things, you think everyday is Friday.

 

10. Unknown artist

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 10. Unknown woman
1 MB 1:06 min

Zanzibar songs(in Kiswahili) aiwaiwa mtoto nikuchuchile ulale, ulale ukiamka usingizi wa za ngombe wa zangombe na kazija, kazija mwenzio kaja mtongoe kwa umoja, umoja wa mwanandani,mwanandani mtu gani9 mtu wa kusali jumwaa na vipindi vyema vyema, kule kuzimu tuendako kuna vitoto viwili, vyapalilia minazi na wingi wa mibayazi, utepe utepe wa kunde si utamu wa mbaazi, nna kijungu jikoni, kijungu cha mibayazi, bado sijatia nazi bado sijatia nazi.

 

11. Unknown artist

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 11. Unknown girl
0.6 MB 0:41 min

(in Kiswahili) Awani aiwani Mafunda, bibi yako kaenda mjini kafungwa kaiba polo mbili za mpunga hoho hoho mtoto hohoh

(in English) Awani Aiwani Oil, your grand mother has gone to town, she is rocked up because she has stolen rice, hoho hoho child.

  

12. Riziki Ali Ame

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 12. Riziki Ali Ame
0.3 MB 0:19 min

(in Kiswahili) Mtoto nakuchombeza nakuchombeza ulale, ulale ukiamka, nikupikie ubwabwa, na mchuzi wa kangaja, usipokutosheleza nikupikie wa pweza.

(in English) baby sleep, when you work up I will cook rice with souce for you, if you wont like it then I can cook octopus souce for you too.

 

13. Bishara Muhamed Hussein

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 13. Bishara Muhamed Hussein
0.2 MB 0:14 min

 

14. Riziki Ali Ame

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 14. Riziki Ali Ame
0.3 MB 0:20 min

 

(in Kiswahili) Ngakule nganda kitu bandike x2, ubwabwa mtoto auli babie hula mlezi na yule mieee hohoh hoho mtoto hohoh mtoto.

 

15. Singer: Bi Tatu Shehame

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 15. Bi Tatu Shehame
1.9 MB 2:06 min

(in Kiswahili) Aiwa iwa mtoto, mtoto mla totoo, mla ubwabwa wa moto kitumbo kifuke joto hohoohoh mtoto, nataka uji mawe balozi nataka uji maweee, nataka uji mawe balozi nataka uji maweee, naujima ntakao si watoto ni watu wazima weeeee, ngondo mnarani bulodoza lapanda mlima weee, nataka uji mawe balozi nataka uji maweee, nataka uji mawe balozi nataka uji maweee, naujima ntakao si watoto ni watu wazima weeeee, ngondo mnarani bulodoza lapanda mlima weee, hohoho waa mtoto. Ainana ainaa mwanangu usilie, usilie ukaniliza na mieee machozi yako yaweke, nikifa unililie ujipigepige nachi watu wakushikilie wengine wakujitue hohoh waaa mtoto hoo waaa.

(in English) aiwa iwa child, baby sleep, the one who will steal and eat baby’s rice his stomach should be fired inside hohooohoh child. Aina aina my child stop crying so I dont cry too, please keep your tears so you can cry after I die. (parts of translation missing)

 

16. Bi Tatu Shehame

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 16. Bi Tatu Shehame
1.1 MB 1:14 min

(in Kiswahili) hoooo waaa hoooo waaa mtoto waa. Saajaani weee saajani weee, saajaani weee saajani weee, kibiriti ngoma kibiriti ngoma majulufani mwanamke gani naeee. x2 hohooh mtoto.

 

17. Bi Tatu Shehame

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 17. Bi Tatu Shehame
0.6 MB 0:41 min

(in Kiswahili) hohoho mtoto x2, nakueleza hiyaaa chuka naupeleleza mchongoma huna miba x2 hohoho mtoto hohoho mtotox3 hohohohoohoh

  

18. Mwajuma Hulam Vuai 

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 18. Mwajuma Hulam Vuai
0.5 MB 0:34 min

(in Kiswahili) hohohoh mtoto x2 mchotie mwanangu mafunda kaenda kwao kuchuma mpunga kaiba pishi mbili za mpunga hohoho mtoto, kitambaa changu cheupe kina madoa meupe ntaishi na dada nyote mbenduke nasema nyote mbenduke bendu bendu bendu.... hhoho mtoto x2

hohoho baby x2

(in English) my son mafunda has gone to his home picking rice. he has stolen two half gallon of rice hohoho baby, my cord is white it has white spots, I will live with all of you sisters.

  

19. Mwajuma Hulam Vuai

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 19. Mwajuma Hulam Vuai
0.8 MB 0:50 min

(in Kiswahili) hohohoho mtoto x2, mchutiapo mwanangu mtu alipati langu, uchungu na maji moto wenzangu nimeona peke yangu, hhoho mtoto hhoho x2 mshindo hoyaaa, mshindo hoyaaa tekeni maji kwa kikombe umbizi kamba alikombe, hohoho mtoto x2

(in English) hohoho baby x2 my child no one will get mine, bitterness and warm water I have just seen myself, hohohohoX2 fetch water by a cup hohoho baby x2

(parts of translation missing)

 

 20. Wanuh Nahoda Manga

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 20. Wanuh Nahoda Manga
0.5 MB 0:34 min
 

(in Kiswahili) hoohooh hohohoh mtoto x2, mama aliponizaa eee kanizaa mbio mbio, kanimbia toka nje mwanangu ukacheze na wenzio, hohoho mtoto. 

 

21. Tatu Habas Kombo

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 21. Tatu Habas Kombo
0.6 MB 0:38 min

(in Kiswahili) hohoohoh mtoto x2, mwana mchanga kuliaaa jua mamaee ayupooo, nauliza majirani eeeee awamjui alipo x2, hohohoh mtoto x2

(in English) Hohoho baby, newborn baby is crying on the sun and her mother is not here.  I am asking neubours, do you know where is her mother? hohoho baby

 

22. Tatu Habas Kombo

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 22. Tatu Habas Kombo
0.4 MB 0:29 min

(in Kiswahili) hohoooho mtoto ajabu hiyooo iliyotokea chake, kibanda kuwaka udongo makuti yasiwake x2 hohooh mtoto x2

 

23. Wanuh Nahoda Manga

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 23. Wanuh Nahoda Manga
0.8 MB 0:53 min

(n Kiswahili) hohohoh mtotox2, mama weee mama mdogox2  kenda kwao kenda kutembea kavimba tumbo kisa umbea x2..hohoho mtoto x2, kuni ndogo ndogo zaitwa chanjax2 , kuni kubwa kubwa zaitwa magogo x2, hohoh mtoto x2.

 

 

24. Mwajuma Hulam Vuai

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 24. Mwajuma Hulam Vuai
0.7 MB 0:48 min

(in Kiswahili) hohoho mtoto x2, hohooh mtoto usilie x2, kofia bovu mwenzenu afungwaaa, mkoroshoni karibu na pemba ukanita njoo wallai sakuja wasemaje leoo x2 hohohoo mtoto heheh mtoto hhehe mtoto lala. hohoho mtoto x2

 

25. Surah Vuai Hiame

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 25. Surah Vuai Hiame
1.4 MB 1:33 min

(in Kiswahili) hohohoho mtoto x2, wamliwaoooo waganga wee wamlimao waganga, kuku yangu ya muhanga wamliwaoo waganga x2 hoohohoh mtoto x2, kimlimani chadanda wee x2 kimlimani chadanda kidege chamtilianga kimlimani chadanda. x2 hohoho mtoto aiiiwaii waii mtoto x2 nyamaza usilie.

 

26. Surah Vuai Hiame

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 26. Surah Vuai Hiame
0.9 MB 0:56 min
 

(in Kiswahili) hohohooh mtoto x2,mwajuma wee mwajumaaa,mwajuma gwee moyo ee mambo ni yayo kwa yao usambe kwa ntendea mie ee kule uendako ndo hayooo. hohohoho x2 , hhoho mtoto x2.

 

 

27. Wanuh Nahoda Manga

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 27. Wanuh Nahoda Manga
0.3 MB 0:20 min

(in Kiswahili) ohohooh mtotox2, limshindalo tumbili na mlimwengu alili nyumba mmoja uja kutia mafuta utauwezaje uwili, hohohooho mtoto x2

 

28. Wanuh Nahoda Manga

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 28. Wanuh Nahoda Manga
0.3 MB 0:21 min

(in Kiswahili) hohohoh mtoto x2, njiwaa hehheeh njiwa ehehe x2 umenipendeza mlio ndewa mtege njiwa x2,ndewa mtege ndewa mtege., hohoohoho mtoto x2

 

29. Mwajuma Hulam Vuai

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 29. Mwajuma Hulam Vuai
1.1 MB 1:12 min
 

(in Kiswahili) kwenda wapi na ungo mpakani kuna mbaazi zangu x2  hohohho mtoto x2, kwenda wapi na ungo huko mpakani kuna mbaazi zangu x2, kuna mbaazi zangu ooo  x2, nalia na wangu moyo moyo wee x2 nalia na wangu moyo nalaumiwa x2, kanka tande we balozi x2, kilicho mlimani balozi wataka upewe chagua cheusi chekundu waachie wenyewee. hohoho mtoto x2.

 

30. Mwajuma Hulam Vuai 

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 30. Mwajuma Hulam Vuai
0.6 MB 0:43 min

(in Kiswahili) cheni yangu imeanguka mtoni x2 saa sita naizinga siioni napiga hodi naikuta shingoni x2 hohoho mtoto x2..............x2

(in English) My neckless has felt in to the river, at twelwe I was looking for it but I did not see it but then I found it in my neck.

 

31. Mwajuma Hulam Vuai

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 31. Mwajuma Hulam Vuai
0.6 MB 0:41 min

(in Kiswahili) susu ya machungwa leteni tugawe x2, nasingiziwa na fulani nnae japo siku moja ntalala nae x2..hhohoho mtoto x2...........x2

 

32. Surah Vuai Hiame

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 32. Surah Vuai Hiame
1.1 MB 1:14 min

(in Kiswahili) hohohoho mtoto x2, washanigeuza mwendo chepu wataniuaaaa x2, anijengee kibanda kwetuuu wee tunda ua chepu wataniuaaa x2, songa mbele songa mbele rudi nyuma rudi nyuma x2 hohoohohooh x3 hohohohooh mtoto.

 

 

   

33. Surah Vuai Hiame

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 33. Surah Vuai Hiame
0.7 MB 0:49 min

(in Kiswahili) hohooohx2 hhoohoho mtoto x2. utalea mwenyeweeee eee x2 yangu mwana njee uniongoeee, hohohohoh x2 hohohoohoh mtoto x2

(in English) hohoho baby, you will grow. (parts of translation missing)

 

34. Silima Vuai

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 34. Silima Vuai
0.8 MB 0:55 min

(in Kiswahili) na mtweee weee na mtweeeee x2 namtweketelaaaaa namtweketelaaa namtweee, mmmmmmmmmmmmmm, hohohoho mtoto x2

 

35. Silima Vuai

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 35. Silima Vuai
1.3 MB 1:25 min

(in Kiswahili) hohooho hooh mtoto x2, naaliaa naliaaa nakumbuka mazoea x2, mwanangu usilie ukaniliza na mie, nyamaza unieleze kosa unalolilia x2.....x2 hohohohohoho mtoto x2, nungu yenu naiama naamia kwa mwana changu kijungu kidogo cha nyama x2, hohohohho mtoto hohoho mtoto x2

(in English) hohoho baby, I cry, I cry, I remember Mazoea. My baby, don't cry, you make me to cry. Don't cry, tell me why are you crying. (parts of translation missing) 

  

36. Silima Vuai

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 36. Silima Vuai
0.6 MB 0:40 min

(in Kiswahili) hohohohoho mtoto x2, nani kasema anyi ukweni anyi ukweni kende kunya mtondo fukucheni aya wa ukweni bingilisha twende ukweni x2.........x2 hhooohoh mtoto hoohhohoho mtoto x2

 

37. Silima Vuai

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 37. Silima Vuai
0.8 MB 0:55 min

(in Kiswahili) hohohoho mtoto x2, lawalaa x2 upembe mmmm......x2, ngira ngira upembe ngira ngira  mmmmm x2 upembe ngira x2 hohohoh mtoto  hohoh mtoto x2

 

38. Silima Vuai

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 38. Silima Vuai
1.1 MB 1:12 min

(in Kiswahili) kanua wee kanuuuu sogea hapa nikutume kanu, kamwambie baba kamwambie baba joka linataka soma kanuuu,kanuu weee kanuuuu x2 sogea hapa nikutume kanu kamwambie baba kamwambie mama joka linataka soma kanu, kanu uu wee kanuuu sogea hapa nikutume kanu kamwambie baba kamwambie mama joka linataka mke kanuuu. hohohoho mtoto x2 

(in English) Kanua, come here, I want to send you (somewhere). Go and tell your father that Joka (name of the person) want to buy, and read. (parts of translation missing) 

  

39. Silima Vuai 

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 39. Silima Vuai
1 MB 1:03 min

(in Kiswahili) hohohoh mtoto x2, kinjenjeuri mwanangu sikia kinjejeuri ninayokwambia kinjenjeuri nenda kwa wenzangu kinjenjeuri wengine niende kinjenjeuri wengine nisende kinjejeuri aaaaaaaaa kinjenjeuri x2 hohohoh mtoto x2

 

40. Silima Vuai

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 40. Silima Vuai
0.8 MB 0:51 min

(in Kiswahili) ntumwa mmmama x3 hahah mauaaa mama yangu mboja nyage kanituma mauaaaa x2 ..... x2, nyange kanituma nyange mauaaa x2, hohoohohoh mtoto x2

(in English) my mother, Mboya Nyange has sent me a flower. (parts of translation missing)

 

41. Silima Vuai

Place: Zanzibar, Nungwi

 

Download Name Play Size Duration
download 41. Silima Vuai
0.8 MB 0:55 min

(in Kiswahili) nandwele nauguaaa kwa huba zake fulani, si mbavuni si kifua, si kichwa wala tumboniii, kiko mbali kiko mbali nikipendacho rafiki si sahari si sahari mahaba ni kitu dhiki, na ndwele naugua kwa huba zake fulani si mbavuni sikifua si kichwa wala tumboni, kikoo mbali kiko mbali nikipendacho rafiki si sahari si sahari mahaba ni kitu dhiki hohoohohoh x2 hohoho mtoto x2.

  

42. Silima Vuai 

Place: Zanzibar, Nungwi

Download Name Play Size Duration
download 42. Silima Vuai
0.7 MB 0:44 min

(in Kiswahili) ngwengwele achote maji kiwangwa x2 aammmammmmm x2 ngwengwele achote maji kiwangwa achote maji kiwangwa x2 aammaammm , hhohoho mtoto hohoho x2.

  

43. Unknown artist

Place: Zanzibar South

Download Name Play Size Duration
download 43. Unknown woman
0.4 MB 0:24 min

(in Kiswahili) Nina ulezi nalea nawa eleza wenzanguuu, mwana kanielemea niistili roho yangu, usiku kucha alia anikata ini langu, mama eeee umenipa mwana nitamleaaaa hhohoohho x2

 

44. Unknown artist

Place: Zanzibar South

Download Name Play Size Duration
download 44. Unknown woman
1.1 MB 1:14 min

Zanzibar songs(in Kiswahili) kilengelenge cha bogaaa utia nazi kunogaa,mkono wataka kula mwenyewe waona owoga, hohoho mwanangu x2, usilie usilie ukaniliza na mie, machozi yako yaweke nikifa unililie, mwenye machozi karibu wewe akufikirie hooo mwanangu x2, mama aliponizaa kanipa taire tai nipigie ngoma yangu nikicheze kimasai, hohohooh x3, kile nini kile nini kilicho ngambo ya mto, nikakiita akiitiki kazi kunipa majuto, mwanangu akuja sasa wanachia sikitiko hohooho hohoo

(in English) Dont cry, dont cry to make me also crying. keep your tears, when I die, you will cry for me. (parts of translation missing)


45. Unknown artist

Place: Zanzibar South

Download Name Play Size Duration
download 45. Unknown woman
0.3 MB 0:19 min

(in Kiswahili) mwanangu anza kuja, kuja unywele unywele yakafika magomani,kofi na vigelegele, mwanagu aanza kuja nikutungie segere hohohoho hohohooh mtoto x2

 

46. Unknown artist

Place: Zanzibar South

Download Name Play Size Duration
download 46. (a) Unknown woman
0.6 MB 0:39 min

(in Kiswahili) Arungu apweke mamati,utakwenda mjini kwa basi, arungu apweke mamati utakwenda na baba mamati,arungu apweke mwanangu hohohoho x2 hohoohhohomwanangu x2.,kiwengwa kule weeee, kiwengwa kule mtoto wa mtwanaa mle kiwengwa  kulee kiwengwa kule kampeleke achukue vyombo kiwengwa kule ,... hohohoho mtoto x2

 

47. Unknown artist

Place: Zanzibar South

Download Name Play Size Duration
download 47. Unknown woman
1 MB 1:04 min

(in Kiswahili) Achanjale kuni nani? chanja mbilimbili, mwana mize kauawa mbili mbili wamuuua ndugu zangu mbilimbili kwa ajili ya uzuri wangu mbili mbili,nenda kamwambie mama mbili mbili mwana mize waniuaaa hohohoohho x2.

 

48. Unknown artist

Place: Zanzibar South

Download Name Play Size Duration
download 48. Unknown woman
1 MB 1:06 min

(in Kiswahili) Oohohoho mwana nyamaza kulia, ukalia unaumwa,ukalia unanjaa ukaliakuna homa hohooh mtoto x2 mtoto namlelea, tumsubiri babako arudi huko shambanii atuletee viazi, atuletee muhogo, hohoh mtoto wanlelea, mtakadiri takadili yote haya umfika nayaweza kuyaepuka yote haya umfika.... hoooo mtoto wanlelea x2

(in English) Baby, be quiet sleep. When you cry you are sick, when you cry you are hungry. Let's wait you father when he comes back from the farm. He will bring us potatoes and cassava.

 

49. Riziki Juma

Place: Zanzibar South

Download Name Play Size Duration
No items to display

(in Kiswahili) Oani baba oani kitunguu na ubani, nyoka kalala njiani tumkanyage kichwa, gulu gulu ana mimba atazaa mwezi gani mwezi wake wa mrisho na mwezi wa ramadhani. hohooho mtoto x2

(in English) The snake is sleeping on the way, let's hit it to the head! it is pregnant. Which month it will give a birth. (parts of translation missing)

 

50. Unknown artist

Place: Zanzibar South

Download Name Play Size Duration
download 50. Unknown woman
0.3 MB 0:17 min

(in Kiswahili) Shemeji yangu mwajuma kaondoka nyumbaniee, leo ya saba jamani mtoto wa watu hehehehheh hohohoo mtoto x2

(in English) My inlaw Mwajuma, she has left home and she has seven days to without being at home.

 

51. Uzuri Abdallah Muhammed

Place: Zanzibar South, Mtende

Download Name Play Size Duration
download 51. Uzuri Abdallah Muhammed
1 MB 1:05 min

(in Kiswahili) Usili usilie ukaniliza na mie, machozi yako yaweke nikifa unililie, ujigaragaze na chiii watu wakusaidie, wenye machozi karibu pia wakuulumie, hohohho mtoto x3, mama wee mama mzazi nina mimba sili mbaazi, ujauzito hauna kazi hohohohoho mwanangu x2 hoo mama usilie ukilia na mimi waniliza.

(in English) Dont cry, dont cry to make me also crying. keep your tears, when I die, you will cry for me. when you cry, you will fall down and people will help you. Those who have tears, other people will come and show you symphaty.

 

52. Vuni Abdallah

Place: Zanzibar South, Mtende

Download Name Play Size Duration
download 52. Vuni Abdallah
1.4 MB 1:31 min

(in Kiswahili) Tauka mie mbaya tauka x2 ,aje alo mwema apitie akipituka japo siku moja utakujakunikumbuka x2......x2, hiyoo jamaaa, huko kusini tunasikia kilio x2 kuna mwana mwali amezichalaza mbio kafumaniwa kakatwa masikio hohohohooh usilie usilie, x2 hohoohohohoh

 

53. Futal Seleman

Place: Zanzibar South, Mtende

Download Name Play Size Duration
download 53. Futal Seleman
0.3 MB 0:17 min

(in Kiswahili) Mama alinipozaa shingo kaipamba nyongo,kanipa mgongo ndoto akuna mganga mtoto hhohoho hohoh mtoto.

 

54. Vuni Abdallah

Place: Zanzibar South, Mtende

Download Name Play Size Duration
download 54. Vuni Abdallah
0.4 MB 0:29 min

(in Kiswahili) Nipe kibao nijifundishe ususi x2, ukiwaona vijana wa mahudusi x2, mtu mzima umetabaa na matusi hoohoho x2

(in English) Give me a wood, I want to learn how to weaveIf you see the youth of Mahudusi, that person is insulted.

 

55. Vuni Abdallah

Place: Zanzibar South, Mtende

Download Name Play Size Duration
download 55. Vuni Abdallah
0.4 MB 0:24 min

Children songs Zanzibar(in Kiswahili) Baby lala lala mama kachoka usimpigie kelele atakuchapa x2 hohohoho mtoto x3

(in English) Baby sleep, mom is tired, don't make noise for her or she will beat you!

 

56. Fadhila Haji

Place: Zanzibar South, Mtende

Download Name Play Size Duration
download 56. Fadhila Haji
0.6 MB 0:39 min

(in Kiswahili) Nilikwenda matembezi upande dia dia, nilipofika njiani Komba akanililia, achomoa kisu changu ataka kumkamata, mkia kikakonesha kibibi kikaniambia, sikia usiaribu kisu chako kwa nyama isiyoliwa. hohoho mtoto x2

(in English) I was walking around in the street, when I arrived, on the way Komba was crying for me. Then he took my knife. Don't use your knife for a meat which is not eatable.

 

57. Sauda Nyimbo

Place: Zanzibar South, Mtende

Download Name Play Size Duration
download 57. Sauda Nyimbo
0.2 MB 0:12 min

 

58. El hamisa Mwini

Place: Zanzibar South, Mtende

Download Name Play Size Duration
download 58. El hamisa Mwini
0.4 MB 0:24 min

(in Kiswahili) Sie watoto wazuri tunasoma skuli, tunapotoka shuleni tukimbilie nyumbani, usikubali kuitwa kupewa pipi na pesa, njiani kuna vibaka hatari watakubaka.. hatudanganyikiii .

(in English) We are good chilren, we are studying at school and after school  we run to home. Don't accept to be given any money on the way, there are dangerous people who can rape you. Don't accept to be cheated. 

 

59. Jamila Hija

Place: Zanzibar South, Mtende

Download Name Play Size Duration
download 59. Jamila Hija
0.3 MB 0:19 min

(in Kiswahili) Tumchuchie mwana tumchuchie mwana, siku yako imefika leo tumchuchie mwana, siku yako imefika leo tumchuchie mwana. hohohooho x2

(in English) Your day has come today, child. (parts of translation missing)

 

60. Fatuma Ali abdallah

Place: Zanzibar South, Jambiani

Download Name Play Size Duration
download 60. Fatuma Ali abdallah
1.3 MB 1:28 min

(in Kiswahili) Kile kidau kijacho amkosi mna wangu,mna mkufu mtunge kadiri ya shingo yangu, nikipata siuvai wala simpi mwenzangu,nitampa mama shangazi msiri wa kunga yangu, hohohohoh mtoto hoho mtoto, usilie mama usilie ukaniliza na mie machozi yako yaweke ukifa unililie. ugalegale nchi watu wakushikilie, wenye machozi karibu nae akusaidie, hoohohoho hoohoho mwanangu x2, ongera mama ongeara, mimi ni mama yako nikakupa ziwa langu ujue maungo yako, mwangu usilie ee mwanangu usilie ww na mimi ukaniliza, oowani  mtoto hoowani.

 

61. Fatuma Ali abdallah

Place: Zanzibar South, Jambiani

Download Name Play Size Duration
download 61. Fatuma Ali abdallah
0.8 MB 0:55 min

(in Kiswahili) Nendeni kachume ina, nilipofika njiani hule muhina hakuna,ajirudia nyumbani, apinda mara kidogo aona nirudi nyuma amkuta baba mmoja,ndio mwenye huruma akaniambia rudi nyumina huko hakuna, owwwani mtoto owanii x2, nyamaza mwanangu nyamaza nyamaza mwangu nyamaza mwanangu usilie, mwangu ukilia na wewe utaniliza na mie, hohohoho mtotot hooh mtoto.

(in English) lyrics missing. be quiet baby, don't cry, when you cry, you make me also crying.

 

62. Fatuma Ali abdallah

Place: Zanzibar South, Jambiani

Download Name Play Size Duration
download 62. Fatuma Ali abdallah
0.6 MB 0:37 min

(in Kiswahili) Usilie mwanangu usilie x2 mama yako kende pwani akaja akupikie,akakuletea pweza uje unipe na mie hiyo ndo haki yangu ya kukulinda na mie. hohohooh mwanangu hohoho, x2

(in English) dont cry my child, your mother has gone to the coast se will come to cook for you. She will bring you fish. hoho my child hhoo

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Additional information