Children Songs North

Songs from North Tanzania were collected visiting villages at Mwanza, Musoma including Fort Ikoma (Robanda village), Karatu and further on at Masai villages. Total of 47 songs are published below and we have many songs in process. Selected songs will be recorded with further studio work. As these songs alone are so many we are putting together efforts to get more volunteers and interns to help us out.

1. Anifa Samson - Tanga Omona wane

Songs from TanzaniaTribe: Kkiroba

Region: Musoma, Mkringo village

Download Name Play Size Duration
download 1. Anifa Samson - Tanga Omona wane
0.9 MB 1:02 min

(in Kkiroba) Tan'ga omona wane. Tan'ga omona wane ntenge nawe x4. Tenge nawe, tenge nawe tenge nawe. Tan'ga injeli yane ntenge nawe x4.

(in Kiswahili) Nipe mtoto wangu nicheze naye. Nipe mziwanda wangu niburudike naye. Nizunguke zunguke naye. Niringe naye. Nipe niringe naye nieshe uzuri wake. Na umuhimu wake mtoto wangu.

(in English) Give me my baby, I want to dance with my sweet baby. I want to shake and cirle with him. I am proud of my baby and I want to show how beautiful, nice and how important he is.

This woman is a widow and she has five children. They live in the village of Mrkingo in Musoma.

 

2. Anifa Samson - Uve otakilo omona

Tribe: Kkiroba

Region: Musoma

 

Download Name Play Size Duration
download 2. Anifa Samson - Uve otakilo omona
0.9 MB 0:59 min

(in Kkiroba) Eeuuee otakira omona x2. Eeuuee otakira omona wane 2x. Eeuuee shegheye koresya. Ueee kokan'gongo kara, eee kakon'geren'geta, uee takira injebhi, uee shehgeye koresya, uee kokn'gongo kara, uee arasha na mashe akohe kokang'ongo kara kakongererngeta x6.

(in Kiswahili) Eeuuee nyamaza mtoto x2. Eeuuee nyamaza mtoto x2. Eeuuee n'gombe zimeenda kuchunga kwenye kamlima kale kanakon'gaa kama dhahabu, na mama yako ndiye ameenda kuchunga, nyamaza na maziwa sasa yamejaa kifuani, akija utanyonya mpaka utosheke, nyamaza maana anakuja na furaha ya kukunyonyesha mpaka ushibe. maefika kutoka kwenye kamlima kale kanakon'gaa na maziwa yamejaa kifuani. Nafurahi hata mimi kuwa leo utanyonya mpaka ushibe.

(in English) Old brother or sister is singing for the younger sibling:
"Oh, sleep baby, the cow is going to eat grass off of the shining hill of gold. That’s why my mother put the cow there. Now my mother returns with lots of milk in the breast to feed you. You will fill up. Don’t cry, because she comes with joy to feed you. I see that she is coming from that shining hill. I’m happy because i see her coming to feed you until you are full."
 

 

3. Anifa Samson - Eeuuee jibhira omwana

Tribe: Mjita

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 3. Anifa Samson - Eeuuee jibhira omwana
0.8 MB 0:50 min

(in Mjita) Eeuuee jibhira omwanax2, Nyakumwana niko akabhibhi x2, kalya abharesi bhali kumryango, kamalya ukurya gwata omwana, ndakulelega ninkutija, ntana managa gu kukugega, mnda munu bhutarimo chinu, na managa gatlimo. Eeeue jibhira umwana.

(in Kiswahii) Eeue nyamaza mtoto x2, Mama yako ndiye mbaya, anakula walezi tuko mlangoni, akimaliza kula, ananiambia chukua mtoto, nitatoa wapi nguvu za kukubebe? na mama yako hanipi chakula? Nitakuwa nakulea nakufinya, Eeeue nyamaza mtoto x2. mimi nakupenda lakini sina nguvu za kukubeba. eeue nyamaza mtoto x2. unanipa kazi ngumu kukulea, sina nguvu ya kukuchukua mgongoni.

(in English) Housemate is singing for the child:
'"Oh, don’t cry baby, you know that your mother is a bad woman, because when she wants to eat, she says to me ‘go and hide behind the door’. When she finishes eating she says to me ‘come and take the baby’. Where can i get the energy to carry you when your mother doesn’t give me food. When I carry you i will pinch you because of your mother. You know I love you so much but I have no power to carry your. Don’t cry. I have no energy to put you in my back."

 

4. Eliza Samsoni - Nyabhorero wasarya

Tribe: Kkiroba

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 4. Eliza Samson - Nyabhorero wasarya
0.7 MB 0:45 min
 

(in Kkiroba) Eeehey Nyabhorero wasarya. Kitaomona waho Nyabhorero wasarya.

(in Kiswahili) Eeehey Nyabhorero ulifanya vibaya sana kumuua mtoto wako kwa kuogopa baba mkwe wako kukuona uchi, nyabhorero umefanya vibaya sana.

(in English) Nyabhorero, you are bad. Because of your anger you dropped your baby and killed him/her.

(In English) Many years ago there was a lady called Nyabhorero. She came from a bath dressed up with only fabric and started hopping with her baby. While hopping with the baby the fabric dropped down. She tried to take the fabric from the floor, because she was ashamed because her father in law was watching and saw her naked. But because of taking the fabric instead of the baby, the baby fell down, was crushed and died. Because this happened, you are not allowed to hop with your baby in the Musoma region. When singing and dancing this song everyone cries. 

(in Kiswahili) Kulitokea mama mmoja akiwa anatoka bafuni kuoga akaona ni vema kumuosha na mtoto wake, alipomaliza kumuosha akawa anamrusha rusha hewani, na wakati huo baba mkwe wake alikuwa hapo pembeni amekaa, amepumzika maana ni wakatia wa mchana, na huyu mama alipotoka bafuni hakuwa na nguo yoyote ndani zaidi ya khanga aliyoivaa. Katika kumrusaha huyu mtoto khanga ikaanguka chini akabaki kama alivyozaliwa, kiwewe kikamshika badala ya kusimama tu kama alivyozaliwa, ikabidi ainame kuchukua khanga, na hapo mtoto akatoka hewani na kuanguka chini na kufa.

 

5. Eliza Samsoni - Mokami wa ghimasheri

Tribe: Kkiroba

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 5. Eliza Samsoni, Mokami wa ghimasheri
0.5 MB 0:34 min

(in Kkiroba) Eeh Mokami wa ghimasheri, ukiita omona wi shule Mokami wa gimasheri, eeh mokami wa gimasheri.

(in Kiswahili) Eeh Mokami wa gimasheri uliiua mtoto wa shule, mukami wa gimasheri, eeh mokami wa gimasheri.

(in English) Mokami wa wagimasheri, why you killed the the student.

There is a woman called Mokami wa wagimasheri. When she goes to give birth she can not push a baby out and the baby dies. They call a baby a student, because in the future she would have been a student.

That woman is still now living in a village

Kukukuwa na mwanamke ni mjamzito akaenda kujifungua, lakini akashindwa kusukuma mtoto akamnyonga, hivyo mtoto akatoka amekufa, ndo maana walimwambia mokami wa ghimasheri umemnyonga mtoto wa shule.

 

 

6. Esta magesa - Ndyebhora wonde

Tribe: Mjita

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 6. Esta Magesa - Ndyebhora wonde
1.4 MB 1:34 min

(in Mjita) Ndyebhora wonde, ndyebhora wonde nkimaka ntakure, Ndyebhora wonde, Ndyebhora wonde toghosi ya bhosa, Ndebhora wonde ndebhora wonde kemaka ntakure, Ndyebhora wonde toghosi ya bhosa, ndyebhora wonde ndyebhora wonde nkimaka ntakure, ndyebhora wonde, Ndyebhora wonde toghosi ya bhosa, Ndyebhora wonde nkimaka ntakure, Ndyebhora wonde toghosi ya bhosa, Ndyebhora wonde hanako mona, hanako mona toghosi ya bhosa, hanako mona kamaka ntakure, hanako mona toghosi ya bure bure, hanako mona uwewonse njwebhorore.

(in Kiswahili) Huyu mwanamke alikuwa mjamzito, lakini akazaa mtotoamekufa, sasa ikambidi ajieleze kwa wenzake ambao wanaweza kufikiri kuwa jambo hili ni special kwake tu!. Sasa anamwambia mama mmoja mtu mzima ambaye ana mtoto, kuwa "Mama naomba unape mtoto nimbebe, usijali mimi kuzaa mtoto amekufa, nadhani hata wewe unazaa unajua haya. uikoa sikuayanaweza kukupata, kwania hii kusema hongera ni ya bure kwa kila mtu usijali. hata mimi kabla sijafa ninajua iko siku nitazaa mtoto mwingine, usijali na nitapewa hongera ya bure bure.

(in English) The woman got pregnant, but when she went to give birth, the child died. She returned back to home. Normally neighbours come to say congratulations, but now they say that they are sorry. The woman told them not to worry and that she will get another child. She tells them not to say sorry and that she is not crying in her heart, as she will get another child later. She says that it can happen to anyone.

This song is sung in circumcacies when people gathering together singing.

 

 7. Mokami Magesa - Shungululya

Tribe: Kkiroba

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 7. Mokami Magesa, Shungululya
1.3 MB 1:23 min

(in Kkiroba) uwe Shungululya shungululya, uwe nyakuwenyu agheye amanshe, uwe nguyo arasha arighererya, uwe kyo mwahi weketando.

(in Kiswahili) uwe membeleze bembeleza, uwe mama yako amefuata maji, uwe ni huyo anakuja kwa madaha. uwe kama mchuma mboga za majani.

(in English) uwe shake shake, uwe your mother is going to get water, uwe I see she is coming by walking proudly, uwe like women who is look for vegetables in the wild.

 

8. Mokami Magesa - Ye lelo nda samba

Tribe: Kkiroba

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 8. Mokami Magesa - Ye lelo nda samba
0.9 MB 1:00 min
 

(in Kkiroba) Ye lelo nda samba bhihuru byane, ndasanba koron'gongo ndasamba bhihuru byanex8

(in Kiswahili) Ye leo nachoma furu zangu, nachoma kwenye kale kamuinuko furu zangu nachoma furu zangux8

(in English) Today I burn my small fish, I burn that fish up the hill, I burn my small fish.

 

9. Esta magesa - Lelo Laina

Tribe: Mjita

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 9. Esta Magesa - Lelo Laina
1 MB 1:05 min

(In Mjita) Lelo walila lelo walila dada, lelo walila, lelo walila, lelo walila dada, lelo walila, sina wao kalalamika utamamulaga lelo walila, lelo walila, lelo walila dada, lelo walila, eti lelo kwaheiri lelo kwaheri dada lelo walila, ntabha na cheni nakakuaye upambe chimiro dada lelo walila, lelo walila, lelo walila dada, lelo walila, ntabha na pete nakakuaye upambe chara lelo walila, lelo walila, lelo walila dada, lelo walila, sina wao kalalamika utamamulaga lelo walila, lelo walila, lelo walila dada, lelo walila.

(in Kiswahili) Leo unalia, leo unalia dada, leo unalia, leo unalia, leo unalia dada, leo unalia mpenzi wako analalamika kuwa hukumuaga, leo unalia, leo unalia, leo unalia dada leo unalia, sina mkufu ningekupa upambe shingo dada leo unalia, leo unalia, leo unalia dada, leo unalia, sina pete ningekupa upambe kidole leo unalia, leo unalia, leo unalia dada, leo unalia mpenzi wako analalamikahujamuaga, leo unalia, leo unalia, leo unalia dada, leo unalia.

(in English) Today you must cry, today you must cry my sister. Today you must cry, today you must cry my sister. Your boyfriend complains to you that you did not say goodbye to him. Today you must cry, today you must cry my sister. If i had a necklace, i would put it on your neck. Today you must cry, today you must cry my sister. If I had a ring I would put it on your finger. Your boyfriend complains to you that you did not say goodbye to him. Today you must cry, today you must cry my sister

People used to cry in the village when the the pride is getting marring and leaving her family. Pride is getting married and her friend sings for her in the wedding day. The pride had another boyfriend.

 

10. Mokami Magesa - Lelo lende

Tribe: Kkiroba

Region: Musoma

 

Download Name Play Size Duration
download 10. Mokami Magesa - Lelo lende
0.9 MB 0:59 min

Mokami is one of two wife, living in one house.

(in Kkiroba) Lelo lende, lelo lende Nyankongo, lelo lende lelo lende nyankongo, Mrimba weto lelo nkurughorande nyankongo, lelo lende nyankongo, ndaroghora, ndaroghora, nyankongo, kyangasgha , kyangasagya nyankongo, kyangya sagha ye bhemori nyankongo.

(in Kiswahili) Leo tena, leo tena Nyankongo, leo tena leo tena Nyankongo, Mrimba wetu leo tena Nyankongo, leo tena nashangaa nyankongo, leo tena nyankongo sijui watoto wa n'gombe wameenda wapi? ngoja niende na usiku huu kutafuta nyankongo.

(in Engish) Today again, today again Nyakongo, today again, today again Nyangongo, today i am wondering Nyakongo, today again i dont know where the small cow went. I go to find it at night.

There are two wifes for one man. Work of the first wife is to go to field with cows. Second woman is love of the husband. The small cow gets lost every day and husband is angry for that. Woman returns to find the cow. Nyakonko is name of the second wife.

  

11. Veronika Werema and Pernina Samson - Ataghatomera njembe

Tribe: Kkiroba

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 11. Veronika Werema and Pernina Samson, Ataghatomera njembe
0.6 MB 0:37 min
 

(in Kkiroba) Ataghatomera nsembe mwen'ge

(in Kiswahili) Ni pale mama anapojikuta amezaa mtoto mfupi kuliko, na mtoto huyu anachukua mda mrefu kukua, unapomuona mfano ana miaka miwili utafikiri ni mtoto wa miezi sita, na hii hali inamuuza sana mama, hata wakati mwingine anaona aibu kumtoa mtoto nje. Sasa ndipo Mama mmoja anaanza kuimba na kumwambia "Mfupi wetu mushonee simpukka!!!" na hapo mtoto anatoka akiimbiwa na mama akiwa amemshika mwanaye kwa furaha, hii inamfanya mtoto asione aibu kwa wenzake.

  

12. Veronika Werema - Sululu

Tribe: Kkiroba

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 12. Veronika Werema, Sululu
0.3 MB 0:21 min
 

(in Kkiroba) Sululu Sululu, Sululu whee Sululu bhabha kemara abhiya. Sululu weto, Sululu, Sululu whee Sululu bhabha kemara abhiya.

(in Kiswahili) Kuna kijana anaitwa sululu, huyu kijana alikuwa mzuri sana wa uso kwa kiingereza wanaita kwa uzuri wake ulileta shida katika kijiji kile, kwani alioa binti wa kwanza akafa, akaoa wa pili naye akaugua kidogo akafa, akaoa wa tatu naye akafa, hivyo hivyo akaoa karibu mara nyingi wanakufa. Ndipo wamama wakamtungia wimbo, kuwa Sululu mbo umemaliza warembo kijijini? Sululu una nini kinachokula wasichana? 

This song is sang with women in a group with dance.

   

13. Veronica Werema, Ester Julius and Pernina Samsoni - Nyambholelo waghakola

Tribe: Kkiroba

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 13. Veronica Werema, Ester Julius and Pernina Samsoni, Nyambholelo waghakola
1 MB 1:03 min
  

(in Kkiroba) eeue Nyabhorero waghakara, nke tuwahira sibhitali, nyabhorero waghakora, watosokya beto abakari nyabhorero waghakora. Nyabhorero waghakoryax8

(in Kiswahili) Mama mmoja anitwa Nyabhorero alikuwa na binti aliyeolewa. sasa siku moja binti akaja na mme wake kwao, bahati mbaya akaanza kusikia malaria, siku ya kwanza, ya pili, ya tatu, yanne,yatano, bila mama huyu kuelezea majirani kuwa mkwe wake anaumwa tena ana hali mbaya sana, akawa kimya yeye pamoja na binti wake. siku ya sita yule mkwe kwa kuwa alikuwa amefichwa mle ndani, alizidiwa akafa. Ndipo mzazi mwenzake yaani mama wa kijana akaja nalia anaema umefanya nini Nyabhorero, mbona hata hukujulisha mtu yoyote hata jirani wakati anaumwa? na kwa nini hukumpeleka hospitali?au hata mimi. Nyabhorero hii ni aibu sana kwetu wanawake wote.

(in English) Nyabhorero You bring shame, why cant you take him to the hospital? 

This song is used to sing with 3 or more people. In this song neubours shout that Nyabhorero is shame to them.

   

14. Veronica Werema and Pernina Samson - Wigoro tugwaghansho

Tribe: Kkiroba

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 14. Veronica Werema and Pernina Samson, Wigoro tugwaghansho
0.5 MB 0:35 min
 

(in Kkiroba) Ehee, Wighoro tuwaghansha, okoghoghera isubheni, wighoro tuwaghansha.

(in Kiswahili) Eeh wighoro unaonyesha unapenda sana mapenzi kuyachinjia mbuzi dume, wighoro unayapenda sana mapenzi

(in English) ehee, Wighoro, why you felt in love like that?

There is a woman, who is a prostitute. She falls in love to another man instead of her husband. She invites her lover to her house and kills a goat to prepare a food for the lover. The goat was for the husband. The song is like a warning for women not to do this. In villages they use singing to warn and teach. Also if someone make a mistake, they can sing out of it. Singing is like a newspaper in the towns.

   

15. Veronika Werema and Pernina Samson - Tanga usiri umbore chengu

Tribe: Kkiroba

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 15. Veronika Werema and Pernina Samson, Tanga usiri umbore chengu
0.6 MB 0:43 min
 

(in Kkiroba) Solo: Ota'nga urisiri Chorus: umbohere chengu

(in English) Give me a rope, so that I can bind chengu, because chengu (big fish in Musoma) is shaking.

The woman has a boyfriend but that boyfriend is busy doing other things. That's why the woman tells a neighbour to give her a rope to bind him.

   

16. Veronica Werema - Ee uwe kila mona

Tribe: Kkiroba

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 16. Veronica Werema Ee uwe kila mona
0.6 MB 0:38 min

(in Kkiroba) Ee uwe kila mona, eeue nyakuwenyu agheye amanshe ne kerandi kya mabhere, eeue kila ereghwa, eeue oni morerinde, eeue ntana ekereandii, eeue kila eraghwa yane, eeue yo kobhereka nu kwika, eeue nde raghwe ndashungururya. ee uwe kila mona, eeue nyakuwenyu agheye amanshe ne kerandi kya mabhee. Eeue bhono nkushungururyande!

(in Kiswahili) eeue nyamaza mtoto, eeue mama yako ameenda kuchota maji, na kibuyu cha maziwa, eeue nyamaza mtoto mimi ni mlezi tu sina mamlaka ya kumnyan'ganya mama yako kibuyu, ni mpaka amekuja mwenyewe kukupa maziwa. eeue nyamaza mzuri wangu, ninaye kubeba mgongoni na kukutelemsha. ni wewe ninaye kubembeleza bila kikomo, mama yako ameenda kuchota maji na kibuyu cha maji, sasa angalia ninavyohangaika kukubembeleza, nyamaza mtoto.

  

17. Veronika Werema and Pernina Samson - Totaghiya ngeresha tugiye

Tribe: Kkiroba

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 17. Veronika Werema and Pernina Samson, Totaghiya ngeresha tugiye
0.6 MB 0:40 min
 

(in Kkiroba) Totaghiya ngeresha tugiye, totaghiya ngeresha tughiye, tughiye ngeresha tughiye

(In Kiswahili) Ni kama askari wanapokuwa uwanjani wakipiga paredi, ndivyo anavyosema ntujipande tupige paredi kwa kuwa tumetoka katika taabu ya utumwa.

(in English) Before Tanzania got freedom, there was many problems. After getting independence the boys marched, danced and sang: "We are free now, so we can march, dance and sing!"

  

18. Veronica Werema and Pernina Samson - nimesta ei tietoa

Tribe: Kkiroba

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 18. Veronica Werema and Pernina Samson, nimesta ei tietoa
0.9 MB 0:57 min
 

(in Kkiroba) Wa kahore ka mgheni otansha ontori kya hano na kotori aa kanga nse, wa kahaore ka mogheni otosha ontori kya hano na kotori aa kanga mbebhete, wa kahore ka mogheni otasha ontori kya- hano nakotori aa kanga narekeho, wakahore kya mogheni otasha ontori kya hano nakotori aa kanga amare korya, wakahore kya mogheni otansha otori kyahano nakotori aa tigha nisabhe amabhoko, wakahore ka mogheni otasha ontori kya hano nakotori aa tigha noghi ibhento, wa kahore otasha ontori kya hano nakotori, aa tigha mbeke ibhento, wakahori ka mogheni otasha ontori kya hano na kotori ambe tighambe nishe bhono.

(in Kiswahili) Wa kahore njoo unisaidie kama mimi nilivyokusaidia wakati ule ulipata shida, Aa ngoja kwanza nisage chakula, wa kahore njoo unisaidie kama nilivyokusaidia wakati ule ulipata shida, aa ngoja kwanza nichekeche unga, aa wa kahore njoo unisaidie kamanilivyokusaidia wakati ule ulipata shida, aa ngoja kwanza niweke sufuria ya ugali kwenye jiko, aa kahore njoo unisaidie kama nilivyokusaidia wakati ule ulipata shida, aa ngoja nimalize kula, aa wa kahore njoo unisaidie kama nilivyokusaidia wakati ule ulipata shida, aa ngoja kwanza ninawe mikono, aa wa kahore njoo unisaidie kama nilivyokusaidia wakati ule ulipata shida, aa ngoja kwanza nioshe vyombo, aa wa kahore njoo unisaidie kama nilivyokusaidia wakati ule ulipata shida, aa ngoja kwanza nitunze vyombo vyangu vizuri, aa wa kahore njoo unisaidie kama nilivyokusaidia kama nilivyokusaidia wakati ule ulipata shida, aa ngoja sasa nije.

Maana ya huu wimbo: Usijione wew ni muhimu kuliko mwenzako

(in English) Grandmother or grandfather tells a story in song: if somebody helps you, you must to help her!

  

19. Veronica Werema - Thigha n'gende  tigha ntighe

Tribe: Kkiroba

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 19. Veronica Werema, Thigha n'gende tigha ntighe
1.3 MB 1:25 min
 

(in Kkiroba) Tigha ngende, tigha ntighex3 Tigha ngende wu muyangi tigha ntighe.Thigha n'gende tigha ntighex3 Tigha ngende wu muyangi wane tigha ntighe.Thigha ngende tigha ntighex3

(in Kiswahili) Sijui niende au niachex3 Sijui niende kwa hawala yangu au niache. Sijui nienda au niachex3 Sijui niende kwa mpenzi wangu ninaye mpenda au niache, Sijui niende au niachex3

(in English) I don’t know whether I should go or not. I don’t know whether I should go to see my boyfriend.

  

20. Ester Julius - kwebhora kwandetire

Tribe: Kkiroba

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 20. Ester Julius, kwebhora kwandetire
1.2 MB 1:20 min
 

(in Kkiroba) Ntaremushi wa kono no kwebhora kwandetire eeeh no kwebhora kwandetire. Mona kira monawane nokwebhora kwandetire, eeh no kwebhora kwandetire. Nookwebhora kwandetire, no kwebhora kwandetire, no kwebhora kwandetire, no kwebhora kwandetire. Eeh no kwebhora kwandetire. Mona ntaremushi wa kono no kwebhora kwandetire. Eeeh no kwebhora kwandetire.

(in Kiswahili) Mimi nisingekuja kwenye mji huu ila ni kuzaa ndiko kumenileta, eeeh ni kuzaa kumenileta, mtoto nyamaza ni kuzaa kumenileta, nisingekuja hapa, ni kuzaa kumenileta. Ni kuzaa kumenileta, ni kuzaa kumenileta, nikuzaa kumenileta, nikuzaa kumenileta. mtoto mimi sikuja kutanga tanga nimekuja kuzaa.

(in English) (A girl is singing for her brother and sister quietly her husbands house) Don't cry. I’ve come to this house to make a family. I´m not coming here because of problems with my family. I´m not a woman who has no work to do. I am coming to make a family like our mother did. 

This song is sung for babies when rocking them. In Tanzania, babies are always property of the men. If a woman gets a divorce, they can not take baby, The baby always stays with the father. In Mkiroba tribe baby is attached to the back or held in the chest of the mother.

   

21. Ester Julius - euwe mona

Tribe: Kkiroba

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 21. Ester Julius, euwe mona
1.2 MB 1:16 min
 

(in Kkiroba) Ewue mona, ewue mona, Ewue mona, ewue mona, kiralomona wetu, ewue mona,ewue mona, kiralomona wetu, nyakuwewenyu araasha, agheye korema, arakoretera ibhakorya, na arashe kokogonkya, ewue mona, Ewue mona, ewue mona, kiralomona, nyakuwewenyu araasha, nyakuwewenyu araasha, arasha na shenkwe, araasha na shinyenyi, arasha na bhose, arashe kokogonkya, Ewue mona, Ewue mona, kiralomona.

(in Kiswahili) Euwe mtoto, euwe mtoto, euwe mtoto, euwe mtoto, nyamaza mtoto wetu, euwe mtoto, euwe mtoto, nyamaza mtoto wetu, mama yako anakuja, ameenda kulima, atakuletea chakula, anakuja kukunyonyesha, euwe mtoto, euwe mtoto, euwe mtoto, nyamaza mtoto wetu, mama yako anakuja, mama yako anakuja, anakuja na kuni, anakuja na mboga za majani, anakuja na unga, anakuja kukunyonyesha, euwe mtoto, euwe mtoto, nyamaza mtoto.

(in English) Euwe Baby, Euwe Baby, Euwe Baby, euwe Baby, be quiet, euwe Baby, euwe Baby, be quiet our baby, your mother is coming. She is preparing shambaa. When she returns, she will bring food for you. She will feed you, euwe baby, euwe baby, be quiet baby, your mother is coming, your mother is coming with a lot of firewood. She is coming with vegetables. She will come with flour. She will come to feed you. Euwe Baby, euwe Baby, be quiet.

  

22. Pernina Samsoni

Tribe: Kkiroba

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 22. Pernina Samsoni
0.2 MB 0:13 min
 

(in Kkiroba) eehoya ee eehoya ee bhana bha bhasamba tokerani ee, bhana bha bhasamba tokerani ee. eehoya ee, eehoya bhana bha bhasamba tokerani kyaigho mwaraye. eehoya ee eehoya ee bhono natunanga nabhunyoa ee. naya ubhunyora kyabha kebhe hee, hanse nkobhoryarya.

(in Kiswahili) Mzazi anakwenda kuwasalimia watoto ambao wamepata tohara, anawambia watoto wa tohara tusalimiane, nijue mmelalaje. ndipo mmoja anajibu kwamba kile alichokuwa anataka amekipata, angejua kwamba ni uchungu nama hiyo asingefanya hivyo. angalia sasa nalala chini kama joka na bila hata kujifunika shuka.

(in English) When the time comes for the child to get a circumcision, he thinks that it is easy. But when they go there, he sees others getting circumcisions. Blood is coming out and he is crying. He says "oh, it’s hard, I thought it would be easy. It hurts. What can i do? I came from my mothers house to here and I can’t return without getting a circumcision. What can i do?" After he gets the circumcision, he is very sick for seven days. He says ‘See how this circumcision has made me sick? I am sleeping down instead of sleeping on a bed. One day this pain will stop and I will be ok’. Others say ‘It’s better now because we are men. We were children, but now we are men.’  

Song for the 7-12 years old children on the first day 1 of circumcicion.

   

23. Pernina Samsoni

Tribe: Kkriroba

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 23. Pernina samsoni
0.2 MB 0:14 min

(in Kiswahii) Baada ya kutahiriwa, wanatengwa kwenye nyumba yao, baada ya siku 1 mzazi anakuja kuwasalimia, unajua haruhusiwa mtu yoyote kuingia mle ndani ya nyumba, isipokuwa yule aliyechaguliwa (Mtu wa Mila). Mzazi anasimama pale mlangoni anaimba, kwa sababu hawasalimiani ni mwiko, na mzazi anayekwenda pale ni Baba na wala sio Mama, kwani haruhusiwi mwanamke kuingia. Salaam yenyewe ni kuimba na wao wanakuiitikia. na kama kuna mmoja wao ana hali mbaya ya kutokwa damu sana karibu kufa, huyu baba hataenda kumwambia mkewe kuhusiana na hali hiyo, itakuwa ni siri yake na yule mtunza nyumba hiyo. na ikitokea amekufwa watasubiri usiku wa manane wamchukue na kwenda kumtupa msituni baba ba mtunza nyumba hiyo. Mama atakuja kujua siku wanatoka baada ya mwezi. Atakapoona mmoja wapo hatoki atajua alikufa, na haruhusiwi kulia wala kuwekwa matanga.

(in English) The day after the circumcicion, the parents of the child went to see him. They greet the child ask how he is. The child replies that now he is fine but it's hard because he has a lot of pain. The child says he is he floor like a snake he want's to be like his parents.

  

24. Pernina Samson

Tribe: Kkiroba

Region: Musoma, Mara

Download Name Play Size Duration
download 24. Pernina Samsoni
0.4 MB 0:27 min

(in Kiswahili) eeue nyamaza mjukuu wangu, eeue mtoto wa kitinda mimba wangu, eeue baba yako sio wa kuacha ukoo kama shangazi yako, yeye anakwendakuongeza kwa mda anarudi, eeue yeye ni mpanuaji ukoo na mngezaji ukoo, yeye ndiye baba yangu, maana ndiye anajua nakula na kuvaa, nyamaza mama yako ameenda kuchota maji anakuja sasa hivi.

(in English) Don’t cry my grand son, the son of my last born. Your father is not moving away like your aunt. Your father is not going far, he returns to build our family, but your aunt is going to build another family. Don’t cry your mother going to find water.

  

25. Yuni Makondo - Ee uwe kila omona

Tribe: Kiikoma-Serengeti

Region: Musoma, Mara

Download Name Play Size Duration
download 25. Yuni Makondo, Ee uwe kila omona
0.4 MB 0:27 min
 

(in Kiikoma) Ee uwe omona, akire korera, nyakune aghire kotema ikisinge ke mwitorora na kirughu.

(in Kiswahili) Nyamaza mtoto, mama yako ameenda kuondoa mabaki ya mashamba na kuyachoma kwenye shamba ambalo limeisha limwa.

(in English) Dont't cry child, your mother is going to prepare the farm.

 


26. Vaileth Joseph - Mona tahasobhondu

Tribe: Kiikoma-Serengeti

Region: Musoma, Mara

 

Download Name Play Size Duration
download 26. Vaileth Joseph, Mona tahasobhondu
0.6 MB 0:40 min

(in Kiikoma) Ee uwe x3Mona musuhu tahasobhondwa sura litonge rekera ilungu.

(in Kiswahili) in eeue mtoto mdogo hafinywi, chukuwa kipande cha ugali mpe atanyamaza.

(in English) Little child is not good to be pinched, just take a piece of ugali to him and he will stop crying.

 

27. Nyikura Herison - Tigha  nkwmbele maghori

Tribe: Kiikoma-Serengeti

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 27. Nyikura Herison, Tigha nkwmbele maghori
0.6 MB 0:42 min
 

(in Kiikoma) Tigha nkwembele Maghori omisix2 nomisi mona wito, ghako aghire kutema ikisinge, nakucha tabhori otarara nchara, achara ekoghota tigha, Tigha nkwembele Maghori omisix2 nomisi mona witox2, utighe korera, mamacho hano akucha kotema ikisinge, na ritorora,no okire omona, eee

(in Kiswahili) Acha nikuimbie Maghori ili ulalex2 lala mtoto wetu, shangazi yako ameenda kuvunja visiki shambani atakuja asubuhi, wewe lala njaa, njaa itakushika sana, inakubidi ulale ili ukiamka asubuhi ukute amekuja, na saa ingine inaweza iatokea bahati nzuri mama yako akapita hapa, akitokea kutengeneza shamba, nyamaza mtoto kulia.

(in English) Older sister or brother is singing for the younger. They stay in the house of aunt because their mother is pregnant and living in the other house.

Let me sing to you Magori you to sleep. Sleep, our baby. Your aunt goes to the field and she will come tomorrow morning. You must sleep with your hungry. When you wake up in the morning she will be here. Let me sing to you for you to sleep instead of crying. Your mother perhaps can pass here today.

 

28. Nyikura, Yuni, Vaileth - Ekihengu ghetale no migheka  

Tribe: Kiikoma-Serengeti 

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 28. Nyikura, Yuni, Vaileth, Ekihengu ghetale no migheka
0.8 MB 0:53 min
 

children songs tanzania(in Kiikoma) Ekihengu ghetale na magheka ghekeche nobhukonikoni, ghekeche nobhukonikoni.

(in Kiswahili) Mdudu ambae hana mkia anapenda kuruka.

(in English) A bird which doesn't have a tail but likes to fly.

 

29. Nyikura, Vaileth, Yuni - Elishamuya lenghende  

Tribe: Kiikoma-Serengeti

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 29. Nyikura, Vaileth, Yuni, Elishamuya lenghende
1.3 MB 1:25 min
 

(in Kiikoma) Elishamuya lenghende, Mdudu aliyerunyata mtu akaondoka

(in Kiswahili) Elishamuya lenghende, miungu iende

(in English) god's must leave!

  

30. Vaileth Joseph - Kwaheri abhagheni

Tribe: Kiikoma-Serengeti

Region: Musoma

 

Download Name Play Size Duration
download 30. Vaileth Joseph, Kwaheri abhagheni
0.4 MB 0:24 min

(in Kiikoma) Kwaheri Abhagheni, kwaheri Abhagheni, abhariobi abhatughanere x2

(in Kiswahili) Kwaheri wageni, Kwaheri wageni, jua liwasimamie na uwaongoza

(in English) Goodbye to our guest, the sun will take care of you. 


31. Nyikura and Yuni -  Ntele muiichi wa hano nkuibhora kundetili

Tribe: Kiikoma-Serengeti

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 31. Nyikura and Yuni, Ntele muiichi wa hano nkuibhora kundetili
0.9 MB 1:00 min
 

(in Kiikoma) Ntele muiichi wa hano nkuiibhora kundetili

(in Kiswahili) Sio mzaliwa wa hapa ni kuzaa kumenileta

(in English) I am not born in here but birds brought me here.

  

32. Josef and Hadija - Sungulanyamaa

Tribe: Sukuma

Region: Mwanza

 

Download Name Play Size Duration
download 32. Josef and Hadija, Sungulanyamaa
1.1 MB 1:12 min

Children songs Tanzania(in Sukuma) Sungula nyama, sungula nyama, aliya ghweghwe (sungula nyama) x2 Sungula mjanja - Kanyamahweghwe - Kanyama Mjanja

(in Swahili) Sungula ni nyama tu. Hata koma akiwa mjanja kiasi gani bado yeye ni nyama. Hada anapokamatwa mawindoni, bado yeye huha. Ngwee ngwee ee iriaa shina mboga imepatikana.

(in English) a Rabbit is just a meat even thouht when it's being hunted, it thinks ngwee, ngwee. It is very clever but it is just meat. That's why it sounds ngwee, ngwee.

   

33. Josef and Hadija - Nhu ghukuyo walatemile

Tribe: Sukuma

Region: Mwanza

 

Download Name Play Size Duration
download 33. Josef and Hadija, Nhu ghukuyo walatemile
0.8 MB 0:52 min

(in Sukuma) Nhu ghukuyo walatemile. Yalizagamba yaswa mapembe x2 Rumaga shimba tulimwipolu, nghwana wa shimba naghwe shimba x2

(in Kiswahili) Hata babu yako alikuwa amechanjiwa, ilikuwa ngombe iliyota pembe , unguluma simba tupo poroni, mtoto wa simba naye simba.

 

34. Unknown artist

Tribe: Chagga

Region: Kilimanjaro

Download Name Play Size Duration
download 34. Moshi, Kilimanjaro, unknown woman
1 MB 1:07 min
 

35. Unknown artist

Tribe: Chagga

Region: Kilimanjaro

Download Name Play Size Duration
download 35. Moshi, Kilimanjaro, unknown woman
0.8 MB 0:53 min
  

36. Unknown artist

Tribe: Chagga

Region: Kilimanjaro

Download Name Play Size Duration
download 36. Moshi, Moshi, Kilimanjaro, unknown woman
0.7 MB 0:49 min
 

37. Mokami Magesa - Pili wa Nyakato

Tribe: Kkiroba

Region: Musoma  

Download Name Play Size Duration
download 37. Mokami Magesa, Pili wa Nyakato
1.2 MB 1:18 min
 

38. Engwe Group - Mimi nawasa

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 38. Engwe Group, Mimi nawasa
1.2 MB 1:17 min

tanzania music(in Kiswahili) Anasema anawaza anawaza sana kwa sababu ya wazazi wake wamekufa, Baba yake amekufa, Mama yake amekufa amebaki anahangaika, wadogo zake wamekufa amebaki tu yeye kaka yao anahangaika. Kijana acha kuwaza, mawazo ni mabaya sana kwani kuna watu waliwaza wakafa na mawazo. hivyo kila kitu muachie mungu wako tu!

(in English) He say that he havw many thoughts because their parents died now he is alone, even their young sister and brother is died, he dont know what he will do. Now is orphans. Another person says: "Kid dont feel any thing because the world is lie that, if you be like that anye time to fiil you will run mental".

  

39. Engwe Group - Ndabhorya

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 39. Engwe Group, Ndabhorya
2.4 MB 2:39 min

(in Kiswahili) Nauliza jamani kwa nini kijana akitaka kuoa, lazima watu wengine ndio waende kupeleka uchumba? ina maana yeye mwenyewe hajui kuchumbia? Lazima wazazi watatuma mjomba aende kuchumbia - kwa nini kwani kijana ana upungufu gani?

(in English) The boy want to marry a girl and he goes to tell that he met a nice girl with who he wants to get married. Parents says: Ok, tomorrow we will sent an uncle to the girls house to ask a permission from the girls parents. Boy complains: Why I need to ask to permission for that! Why can't I just to go there by myself!

  

40. Engwe Group - Mkungu bhina Ebhereko

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 40. Engwe Group, Mkungu bhina Ebhereko
2.3 MB 2:30 min
 

 

41. Engwe Group - Nimezingiziwa kesi

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 41. Engwe Group, Nimezingiziwa kesi
2.8 MB 3:04 min

 

42. Engwe Group - Vijana acha madawaya kulevya

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 42. Engwe Group, Vijana acha madawaya kulevya
2.7 MB 2:56 min
 

 

43. Engwe Group -  Zaina Utanivumilia

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 43. Engwe Group, Zaina Utanivumilia
1.8 MB 1:57 min
 

 

44.  Engwe Group - Madada Waache ukahaba

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 44. Engwe Group, Madada Waache ukahaba
1.8 MB 1:56 min
 

 

45. Engwe Group - Unajua Unakupenda

Region: Musoma

 

Download Name Play Size Duration
download 45. Engwe Group - Unajua Unakupenda
1.6 MB 1:42 min

 

46.  Engwe Group - Tunalinga na nchi

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 46. Engwe Group, Tunalinga na nchi
2.3 MB 2:28 min

 

47. Engwe Group - Punguza maduu

Region: Musoma

Download Name Play Size Duration
download 47. Engwe Group, punguza maduu
2.3 MB 2:28 min

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Additional information