South and Middle and Tanzania Children Songs
Songs collected from South and Middle Tanzania
1. Damalis Lupia
Tribe: Mgogo
Region: Dodoma
Download
Name
Play
Size
Duration
1. Damalis Lupia
1.4 MB
1:30 min
(in Kiswahili) Kulikuwa kuna mama mmoja ambaye hakufanikiwa kuzaa, sasa kukatokea mama mwingine pale kijijini alienda kujifungua, bahati mbaya akafa. hivyo kijiji kikaona wampe yule mama aliyekuwa tasa huyu mtoto. Mtoto akakuwa akafikia kutahiriwa, na ilipofika siku ya saba uchungu umekuwa mwingi wa kidonda anaugulia ndipo yule mama akamchukua na kumtupa ndani ya pipa.
(English) There was a mom who did not get child. Then it happend, antother woman in that willage she went to get birth, unfortunatly the woman died. so the village dicedid to give the child to the woman without baby, The child was grown until come time to be circumcacied. when it become the seven of being circumcacied the child had a lot of pain so the mother decdiced to take the child and throw away to the well.
(in English) This song is danced and sung in cimcumcacies.
2. Damalis Lupia
Tribe: Mgogo
Region: Dodoma
Download
Name
Play
Size
Duration
2. Damalis Lupia
0.6 MB
0:42 min
(in Kiswahili) Huu ni mchezo wa watoto wanapokuwa wapo pamoja wanacheza, wakiweka mikono yao pamoja ikiwa chini. wanaanza usema jumamosi, jumapili, kipana. Pale itakapoishia kipana ndio mono umeshinda.
(in English) Children playing song. Hand are put on the table and other person is touching tale between fingers and singing starts: Sunday. Saturday..
3. Damalis Lupia
Tribe: Mgogo
Region: Dodoma
Download
Name
Play
Size
Duration
3. Damalis Lupia
1.1 MB
1:14 min
(in Kiswahili) Huu ni wimbo wa harusi. Unaimbwa wakati wa bibi harusi anatoka nje. (yereree) maana yake ni kupiga vigere gere.
(in English) This song is a wedding song. It is sung when woman is walking from her house to the huspend's house.
4. Damalis Lupia
Tribe: Mgogo
Region: Dodoma
Download
Name
Play
Size
Duration
4. Damalis Lupia
2 MB
2:09 min
(in Kiswahili) Mtoto anasema kama angejua kuwa maisha ndivyo yalivyo mabaya namna hii asingekuja hapa duniani, angebakia tumboni mwa mama yake.
(in english) The child says: If she would know before that life is bad like this. She would not come to the world and she would stay in the womb.
5. Agnes Makaba - Nantunbu silongo
Region: Mtwara
Download
Name
Play
Size
Duration
5. Agnes Makaba, Nantunbu silongo
0.3 MB
0:17 min
(in Makonde) Nantumbu silongo kulia kunankalela. Mwanangu unalile kulya kwaloka nkulima.
6. Elisabeth Mosquito - Oo mtoto.
Tribe: Makonde
Region: Mtwara
Download
Name
Play
Size
Duration
6. Elisabeth Mosquito, Oo mtoto.
0.6 MB
0:38 min
Melodia is from Makonde and lyrics are in Swahili.
7. Saana Sana - Kwek kwek
Tribe: Makonde
Region: Mtwara
Download
Name
Play
Size
Duration
7. Saana Sana, Kwek kwek
0.8 MB
0:55 min
kwek kwek
chokuta ng'anga kwe kwe kwe.....
8. Saana Sana - dedede
Tribe: Makonde
Region: Mtwara
Download
Name
Play
Size
Duration
8. Saana Sana, dedede
0.7 MB
0:45 min
Dedededee, dedee dedeee
anyoke aukile kumuto
dede nateka lyeabwambaa dedee,
lyambwambwaa lya musitala dede
aujan ata ngadika ee
kasidoni nkanumi malala, malala
malala kikuleele
9. Zena Ramadhani
Tribe: Kwere
Region: Pwani (East-Coast)
Download
Name
Play
Size
Duration
9. Zena Ramadrani
0.6 MB
0:43 min
(in Kiwahili) Mwanangu nyamaza mama yako nakubembeleza!
(in English) I'm your mom, stop crying my baby!
10. Mariamu Ramadhani
Tribe: Kikutu
Region: Morogoro
Download
Name
Play
Size
Duration
10. Mariamu Ramadhani
0.8 MB
0:54 min
(in English) My baby, our chicken is stoled so today you will eat vegetables.
11. Zena Ramadradi - Segere
Tribe: Zaramo
Region: Pwani (East-coast)
Download
Name
Play
Size
Duration
11. Zena Ramadradi, Segere
0.4 MB
0:23 min
(in Zaramo) Segere ooh uzazi wa mwana naomba ndimwage segere. segere ooh uchungu mwana naomba ndimwage segere
(in Kiswahili) Segere ooh uzazi wa mwana naomba nicheze na mwanangu segeer, segere eeooh uchungu wa mwana naomba nicheze segere.
(in English) Segere ooh to delivery a child my bag to dance with my child, segere, seregere. I feel pain if can not dance with my child segere.
Segere is a music style sung and danced in Zaramo. Song is used to sing as a solo but others come to sing to words "segere".